Kupata hedhi isiyokoma inaashiria tatizo

Ni kawaida kwa mwanamke aliyepevuka kupata hedhi ya kila mwezi katika mzunguko wake kutokana na mabadiliko ya homoni, ambapo mfuko wa uzazi unatengeneza ukuta mpya kwa ajili ya mapokezi ya utungishwaji wa mimba. Kwa kipindi hicho mwanamke anapitia siku kadhaa za utokwaji wa damu kupitia uke. Idadi ya siku hizi imetofautiana kati ya mwanamke mmoja…

Read More

Sao Hill: Mgodi wa miti

Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuniwezesha kuandika makala hii kuhusu Kiwanda cha Sao Hill cha kuchakata magogo ili kupata mbao na bidhaa nyingine zitokanazo na miti au rasilimali misitu. Kiwanda cha misitu – Sao Hill Industries Ltd – ni miongoni mwa viwanda vya mazao ya misitu vilivyokuwa vinamilikiwa na serikali kupitia Shirika la Viwanda vya Misitu…

Read More

Mikasa ya maisha ya Kingunge

Kwa mara ya kwanza, Kavazi la Mwalimu Nyerere limechapisha kitabu kuhusu maisha ya mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Ngombale – Mwiru. Kitabu hicho kimezinduliwa Machi 6, wiki iliyopita, kikiitwa ‘Kutoka Kavazini – Mazungumzo na Kingunge wa Itikadi ya Ujamaa. Kingunge Ngombale – Mwiru 1930 – 2018.’ Kitabu hicho kimetokana na mazungumzo kati ya Kingunge enzi za…

Read More

Ndugu Rais umesema wanao tumekusikia

Ndugu Rais, ukifanya vema lazima tukuambie umefanya vema. Ukiwaapisha makamishna wa Polisi, Ikulu jijini Dar es Salaam, baba ulisikika ukisema, “…Lakini kuna mambo mengine tu ambayo ni ya kawaida ambayo Jeshi letu la Polisi mnatakiwa myaelewe kwamba Watanzania siyo wajinga sana. Wanafahamu na wanajua ‘kuanalaizi’ mambo.’’ Kwa kulitambua hili baba, Mwenyezi Mungu akutangulie katika kutuongoza….

Read More

Jumuiya ya Afrika Mashariki inayumba

Hali ya kutoelewana iliyopo kati ya Rwanda na Uganda, nchi mbili wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, inatishia utangamano wa jumuiya hiyo. Uhasama kati ya nchi hizi mbili ni wa muda mrefu na umewahi kusababisha mapambano ya silaha kati ya majeshi yao ndani ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Zipo tuhuma kutoka kila upande…

Read More