‘Watumishi wa umma msitumike kisiasa’

Serikali imewakumbusha watumishi wa umma nchini kutotumika kisiasa, badala yake watimize majukumu yao kikamilifu. Maelezo hayo kwa watumishi hao wa serikali yametolewa hivi karibuni na Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dk. Mary Mwanjelwa, akiwa wilayani Kisarawe, Mkoa wa Pwani. Katika ziara yake hiyo, naibu waziri huyo licha…

Read More

Mvutano waendelea ‘stendi’ Moshi

Mvutano unaendelea kati ya Halmashauri ya Manispaa ya Moshi na wafanyabiashara wenye maduka katika Jengo la Biashara la Stendi Kuu ya Mabasi mjini Moshi. Mvutano huo unahusu mkataba mpya wa upangaji baada ya ule wa awali wa miaka 15 kumalizika Desemba 30, mwaka jana. Wafanyabiashara wanapinga ongezeko kubwa la kodi. Jengo hilo la ghorofa tatu…

Read More

Apokwa nyumba kwa deni la mkewe

Chama cha kukopesha wanawake cha Muunganiko wa Wanawake Sekta Isiyo Rasmi Dar es Salaam (MUWASIDA) kwa kushirikiana na Kampuni ya udalali ya Namic Investment Ltd, wanatuhumiwa kuuza nyumba ya Mbegu Kangamika (72) kwa mizengwe. Nyumba hiyo Na. 255 ipo Mtaa wa Bombani, Pugu katika Manispaa ya Ilala, jijini Dar es Salaam. Iliuzwa kwa mnada Machi…

Read More

Uamuzi wa Lowassa ni fursa kwa Dk. Magufuli 

Waziri Mkuu (mstaafu), Edward Lowassa, mwishoni mwa wiki iliyopita alifanya uamuzi mwingine mgumu katika maisha yake ya kisiasa.  Kama ilivyo kawaida yake katika kufanya uamuzi mgumu kwenye maisha yake ya uongozi nchini, Lowassa alirejea katika Chama chake cha awali, Chama Cha Mapinduzi (CCM), akitokea Chama kikuu cha upinzani – Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).  Uwepo wa Lowassa…

Read More

NINA NDOTO (9)

Andika maono yako Kuwa na ndoto ni ishara kwamba una tumaini. Kuwa na ndoto ni ishara kwamba unafikiri  unaweza kushinda. Kuwa na ndoto kunakufanya uonekane kijana hata kama umri unakwenda. “Kama haujawa na ndoto kuhusu kitu kipya, kitu kikubwa au kitu bora, anza kuitafuta ndoto hiyo,” anasema Dave Ramsey, mjasiriamali na mtaalamu wa mambo ya…

Read More

Jinsi ya kuanzisha biashara Tanzania (4)

Wiki iliyopita nilihitimisha makala hii kwa aya hii: “Je, unafahamu taratibu zikoje ukifika TRA hadi unakadiriwa kiwango cha kodi utakayolipa kwa mwaka? Je, unafahamu ukiishalipa hayo malipo ya TRA ni ofisi ipi nyingine unapaswa kwenda kupata leseni ya biashara? Usiikose JAMHURI wiki ijayo uweze kusoma sehemu ya 4 ya makala hii ambayo baadaye itajumuishwa na…

Read More