Vyombo vya habari ni chuo cha maarifa

Vyombo vya habari (mass media) ni njia ya mawasiliano kati ya mtu na mtu, katika kuhabarishana, kuelimishana na kuburudishana. Iwe wakati wa kazi, mapumziko au starehe. Ni njia ya kufikia kupata maendeleo ya kiuchumi na kijamii katika taifa lolote duniani. Kila chombo (medium) kinafanya kazi kwa maadili ya kazi, kanuni na weledi. Kushirikiana na kingine…

Read More

Korea Kaskazini yagoma kuharibu silaha

New York, Marekani Waziri wa Mambo ya Nje wa Korea Kaskazini, Ri Yong-ho, ameonya kuwa hakuna namna ambayo nchi yake itaharibu zana za nyuklia wakati Marekani bado inaendelea kuiwekea vikwazo. Ri Yong-ho aliuambia mkutano wa Umoja wa Mataifa unaoendelea jijini New York, Marekani kwamba vikwazo hivyo vinapunguza imani kwa Marekani. Hivi karibuni Korea Kaskazini imerejea…

Read More

JPM amfuta machozi Mfugale

Ifuatayo ni sehemu ya hotuba ya Rais John Magufuli wakati wa uzinduzi wa Mfugale Flyover, Tazara jijini Dar es Salaam uliofanyika Septemba 27, 2018. Pamoja na mambo mengine, Rais Magufuli alieleza kwanini ametaka daraja hilo lipewe jina la Mtendaji Mkuu wa TANROADS, Mhandisi Patrick Mfugale… …Lakini napenda tu kuwapongeza pia Wizara ya Ujenzi pamoja na…

Read More

Hongera Serikali kuzibana NGOs

NA ANGELA KIWIA Serikali imetoa maagizo kwa mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs) na kuyataka kuyatekeleza ndani ya mwezi mmoja. Napenda kuipongeza serikali kwa hatua hii muhimu. Natambua wapo baadhi ya ndugu zetu hawatafurahia hatua hii ya serikali kuzibana NGOs, kwa kuwa walikuwa wanufaika wakubwa wa mashirika hayo kwa kuyatumia isivyo. Baadhi ya mashirika hayo yamekuwa…

Read More

Tetemeko laacha maafa Indonesia

Jakarta, Indonesia Watu zaidi ya 380 wamethibitishwa kufa baada ya tsunami kusababisha tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa Richter 7.5, lililopiga mji wa Jakarta mwishoni mwa wiki. Upepo mkali ulivuma kutoka Palu katika Kisiwa cha Sulewesi kwa mita tatu. Video inayoonekana kwenye mitandao ya kijamii inaonyesha jinsi watu walivyokuwa wakipiga kelele huku wakikimbia kwa hofu….

Read More

Badilika ili uwabadili wengine

Mabadiliko hayazuiliki. Kubadilika kwa ajili ya yaliyo bora ni ajira ya wakati wote. Adlai E. Stevenson II Mabadiliko ni kanuni ya maisha na uumbaji. Hebu fikiri na uwaze. Ulipokuwa na umri wa miaka mitatu, ulikuwa wewe? Bila shaka ulikuwa ni wewe. Lakini sasa umebadilika, lakini bado ni wewe. Je, ulipokuwa na umri wa wiki moja,…

Read More