Ujenzi wa barabara waathiri makazi Temeke
NA ALEX KAZENGA DAR ES SALAAM Wananchi wa Kata ya Makangarawe, Manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam wameulalamikia ujenzi wa barabara za mitaa unaofanywa kwa kiwango cha lami katika mitaa hiyo wakidai kuharibu makazi yao. Ujenzi huo umeanza kutekelezwa hivi karibuni chini ya Mradi wa Uboreshaji wa Jiji la Dar es Salaam (DMDP), mradi…