Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa ameshinda uchaguzi wa urais nchini Zimbabwe

Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa ameshinda uchaguzi wa urais nchini Zimbabwe kwa mujibu wa tume ya uchaguzi ya nchi hiyo. Katika majimbo 10 yote yalioyotangazwa, Mnangagwa ameshinda kwa asilimia 50.8 ya kura kwa asilimia 44.3 alizopata mgombea wa chama cha upinzani Nelson Chamise. Polisi waliwaondoa upinzani wakati wa kutangazwa matokeo baada ya kukataa kuyakubali matokeo…

Read More

Mkawas Akimbizwa India

Aliyekuwa Katibu Mkuu wa klabu ya Yanga, Charles Boniface Mkwasa, amesafiri kuelekea India kwa ajili ya matibabu. Taarifa ambazo imezipata Saleh Jembe hivi punde ni kuwa, Mkwasa amesafirishwa kuelekea nchini huko kutokana na matatizo ya kiafya ambayo yamekuwa yakimsumbua kwa muda mrefu. Kupitia akaunti ya Ofisa Habari wa Yanga, Dismas Ten, kwenye Instagram, ameandika kumtakia…

Read More