Nchimbi afurahishwa na msimamo wa wana-CCM Pemba
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Pemba KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, amesema anawaheshimu na kuwakubali wana CCM wa Pemba kwa misimamo yao thabiti katika kuilinda na kuitetea CCM bila kuyumba. Dk. Nchimbi pia amewapongeza kwa jinsi ambavyo wameendelea kuwa imara kuifanya Pemba kuwa mojawapo ya ngome za Chama Cha Mapinduzi…