Sweden kusaidia ujenzi wa SGR

Na Benny Mwaipaja, JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Waziri wa Ushirikiano wa Maendeleo ya Kimataifa na Biashara ya Nje wa Sweden, Diana Janse, jijini Dodoma, ambapo Naibu Waziri huyo, amemweleza Dkt. Nchemba kuwa, nchi yake inaandaa Mkakati Mpya wa Ushirikiano kati ya nchi hizo mbili…

Read More

Maofisa Sheria, Mawakili watakiwa kutekeleza majukumu yao kwa usawa na haki

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa amewataka Maafisa Sheria na Mawakili wa Serikali nchini kutekeleza majukumu kwa kuzingatia weledi, usawa na uadilifu ili kuhakikisha wananchi wanapata haki bila kujali hali zao za kiuchumi. Majaliwa ameyasema hayo leo (Alhamisi, Machi 21, 2024) wakati akifugua mkutano wa Mkuu…

Read More