Biteko awasilisha bungeni azimio la Tanzania kuridhia mkataba wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati Jadidifu

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko leo amewasilisha katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania azimio la kujiunga na Mkataba wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati Jadidifu (Statute of the International Renewable Energy Agency – IRENA). Dkt. Biteko ametaja manufaa mbalimbali yatakayopatikana baada ya kujiunga na mkataba huo ikiwemo; kuimarika…

Read More

Naibu Waziri Mwanaidi : Serikali kutekeleza jitihada zinazolenga usawa wa kijinsia

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mwanza Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mwanaidi Ali Khamis amesema Serikali inaendelea kuwekeza na kutekeleza jitihada mbalimbali zinazolenga kujenga jamii yenye usawa wa kijinsia. Mwanaidi ameyasema hayo Oktoba 29, 2023 wakati wa maadhimisho ya Jubilee ya maiaka 25 ya Shule ya Sekondari Loreto iliyopo Nyakato…

Read More

Muhimbili yaendesha mafunzo ya Kimataifa ya upasuaji wa sikio

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Hospitali ya Taifa Muhimbili imezindua mafunzo ya kimataifa ya awamu ya tatu ya upasuaji wa sikio na upandikizaji wa vifaa vya kusaidia kusikia (Cochreal Implant) kwa watu wanaozaliwa na changamoto ya kusikia. Mafunzo hayo yanajumuisha washiriki kutoka Hospitali za ndani na nje ya Tanzania. Akizungumaza kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji, Mkurugenzi…

Read More