Viongozi wazungumzia uadilifu na utiifu wa Zelothe

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Viongozi wa Chama na Serikali waliopata fursa ya kuzungumza wakati wa ibada ya mazishi ya aliyekuwa Kamishna Msaidizi Mwandamizi (mstaafu) wa Jeshi la polisi nchini na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Arusha, Marehemu Zelothe Stephene Zelothe kuwa alikuwa ni kiongozi mwadilifu na mwenye nidhamu, aliyewapenda anaowaongoza na asiyependa…

Read More

Biteko awasilisha bungeni azimio la Tanzania kuridhia mkataba wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati Jadidifu

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko leo amewasilisha katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania azimio la kujiunga na Mkataba wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati Jadidifu (Statute of the International Renewable Energy Agency – IRENA). Dkt. Biteko ametaja manufaa mbalimbali yatakayopatikana baada ya kujiunga na mkataba huo ikiwemo; kuimarika…

Read More

Naibu Waziri Mwanaidi : Serikali kutekeleza jitihada zinazolenga usawa wa kijinsia

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mwanza Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mwanaidi Ali Khamis amesema Serikali inaendelea kuwekeza na kutekeleza jitihada mbalimbali zinazolenga kujenga jamii yenye usawa wa kijinsia. Mwanaidi ameyasema hayo Oktoba 29, 2023 wakati wa maadhimisho ya Jubilee ya maiaka 25 ya Shule ya Sekondari Loreto iliyopo Nyakato…

Read More