DAWASA waanza utekelezaji agizo la Rais Samia kwa kurejesha huduma bila faini
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeanza utekelezaji wa agizo la Waziri wa Maji, Jumaa Aweso la kuwarudishia huduma ya maji wateja waliositishiwa huduma kwa msamaha wa kutolipa pesa ya faini ya kurudishiwa huduma alilolitoa mapema wiki hii kwenye vyombo vya habari. Aweso…