Rais Samia: Dhamiara ya kubadilisha bomba la mafuta TAZAMA, kujenga bomba jipya la gesi iko palepale

Na Wislon Malima, JAMHURI MEDIA Lusaka Zambia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema wataendelea na dhamira ya kubadilisha Bomba la Mafuta lililopo la Tanzania-Zambia (TAZAMA) na kujenga bomba jipya la gesi asilia kutoka Dar es Salaam hadi Zambia. Aidha amesema kwa kutambua haja ya kuhakikisha usalama wa nishati na…

Read More

Mavunde : Mkutano wa wakandarasi umeitangaza Tanzania kwenye sekta ya madini yaliyo chini ya bahari

Na Richard Mrusha, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, amesema mkutano wa wakandarasi uliofanyika jijini Dar es Salaam umekuwa na tija kubwa na wakihistoria na ni jambo ambalo halijatokea nchi nyingine yeyote Afrika bali Tanzania hivyo, hiyo ni heshima kubwa . Amesema kuwa ni heshima kubwa kuwa mwenyeji wa mkutano huo wa…

Read More

Prof.Janabi: Wataalamu sekta ya afya wanahitaji msaada wa ujuzi na maarifa kuliko aina nyingine ya msaada

Na Mwandishi Wetu, JamburiMedia Wataalamu wa sekta afya wanahitaji msaada wa ujuzi na maarifa kuliko aina nyingine ya misaada kwa kuwa itasaidia kusambaza maarifa hayo kwa vizazi na vizazi na hatimaye kusaidia kuokoa maisha. Hayo yameelezwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Prof. Mohamed Janabi wakati akifungua mafunzo maalumu ya siku tano ya…

Read More

Asasi za Kiraia zaiangukia Serikali kuwepo kwa sheria rafiki

Na Zulfa Mfinanga, Jamhuri Media,Arusha Wakati dunia ikiingia katika teknolojia mpya ya akili bandia, Asasi za kiraia nchini zimeiomba Serikali kutunga sheria rafiki zitakazowezesha kuleta maendeleo kwa haraka kupitia teknolojia hiyo badala ya kutunga sheria zitakazominya kasi ya kuleta maendeleo hayo. Wadau hao licha ya kukiri kuwa teknolojia hiyo mpya imekuja na changamoto zake lakini…

Read More

Waziri Mkuu awataka madereva wa Serikali wazingatie sheria

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka madereva wa Serikali kuwa mfano wa kuzingatia sheria zote kwa sababu kuendesha gari ya Serikali haimaanishi wamepewa rungu la kuvunja sheria bali wanapaswa kuwa mfano wa kuzizingatia hasa zile za usalama barabarani. Majaliwa amesema kuwa, “ukiwa dereva wa Serikali haimaanishi kuwa uko juu ya sheria…

Read More