Ummy: Tuongeze kasi ya utoaji elimu na upimaji wa ugonjwa kifua kikuu

……………………………………………………….. Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI Mhe. Stanlaus Nyongo ameishauri Wizara ya Afya kupitia Mpango wa Taifa wa Kifua Kikuu (TB) na Ukoma kuongeza juhudi za utolewaji wa elimu kwa jamii na upimaji wa TB. Mhe. Nyongo amesema hayo leo Oktoba 23, 2023 baada ya kupokea taarifa…

Read More