Tanzania kuwasilisha ombi CAF matumizi ya matangazo ya Kiswahili

Na Shamimu Nyaki, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Damas Ndumbaro amesema Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) inatarajia kuwasilisha ombi la kuweka matangazo kwa lugha ya Kiswahili katika Mashindano ya Kombe la Mataifa Barani Afrika AFCON yatakayochezwa mapema mwaka 2024. Ndumbaro amesema…

Read More