Rais Samia ashiriki uzinduzi, maonyesho ya mboga na matunda Qatar

Na mwandishi wetu Jamhuri Media , Doha Qatar Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshiriki uzinduzi wa Maonesho ya Kimataifa ya Mboga na Matunda (Doha International Horticulture Expo 2023). Maonesho hayo yanatoa fursa kwa wafanyabiashara na wajasiriamali kujifunza na kuwekeza katika kilimo hususan kwenye teknolojia rafiki ya mazingira. Hiyo ni…

Read More

Mhagama afurahishwa ubora wa shamba la kahawa la Aviv Tanzania Limitd Ruvuma

Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Jenista Magama  amesema kuwa nchi inahitaji uwekezaji zaidi wa mashamba makubwa ili kufungua fursa ya ajira kupitia kilimo kama ilivyokuwa kwa shamba kubwa la kahawa Afrika Mashariki la Aviv Tanzania Limited lililopo katika Kijiji  cha Lipokela Wilayani Songea Mkoani Ruvuma lililoajiri…

Read More

TASWA yapongeza uteuzi wa Mobhare Matinyi

CHAMA cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), kinampongeza Mobhare Matinyi kwa kuaminiwa na kuteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali. Uteuzi wa Matinyi aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa TASWA, umefanywa jana Oktoba Mosi, 2023 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Kabla ya…

Read More