Chuo Kikuu Huria ni mkombozi wa walalahoi -Waziri Simbachawane

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma. Serikali imesema inatambua na kuthamini mchango wa Chuo Kikuu huria nchini katika kuendeleza elimu kwa walala hoi, wafanyakazi ambao hawana elimu ya juu kutokana na kukosa muda wa ziada na kuahidi kushughulikia changamoto zote zinazokikabili Chuo hicho kuongeza ushawishishi. Waziri wa nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya utumishi wa Umma…

Read More

DC Rufiji : TEMESA ifanyekazi kwa uaminifu na ufanisi kuondoa malalamiko

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Serikali Mkoani Pwani ,imeutaka Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA ) kufanya majukumu yake kwa uaminifu na kufuata maelekezo yanayotolewa na Serikali ili kuondoa malalamiko kwa wateja . Akimwakilisha mkuu wa Mkoa wa Pwani, katika kikao cha Pwani na wadau, kwenye Kibaha Kwa Matias ,Mkuu wa Wilaya ya Rufiji…

Read More

Zaidi ya bilioni 1.2/- kukamilisha majengo ya elimu Kibaha

Na Byarugaba Innocent, JamhuriMedia, Kibaha Jumla ya Shilingi 1,261,950,000.00 zinatarajia kukamilisha ujenzi wa vyumba vya madarasa 22,Ofisi 1 ya walimu,mabweni 3 na nyumba 4 za walimu zenye uwezo wa kuweka familia 8 zinazoendelea kujengwa kwenye Halmashauri ya Mji Kibaha ili kuboresha mazingira kwa walimu na wanafunzi na kufanikisha ufundishaji na ujifunzaji wa masomo Aidha,vyumba hivyo…

Read More

Kapinga: Desemba 2023 vijiji vyote 758 Mtwara vitakuwa na umeme

Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Serikali imesema hadi kufikia Desemba 2023 vijiji vyote 758 mkoani Mtwara vitakuwa vimepata umeme. Akizungumza mkoani Mtwara, tarehe 21 Septemba, 2023, Naibu Waziri wa Nishati Judith Kapinga amesema katika vijiji hivyo vingi vilikuwa havina umeme, hivyo watapeleka umeme katika maeneo hayo yote. Amesema lengo la ziara yake hiyo mkoani humo ni kujionea…

Read More

Njooni muwekeze Tanzania Kisiwa cha amani – Othman

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Serikali imetoa wito kwa washiriki wa Kongamano la Nishati wakiwemo Mawaziri, Watunga Sera, Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma na Binafsi, Wafanyabiashara na Viongozi mbalimbali wa Makampuni kutoka ndani na Nje ya Tanzania walioshiriki Kongamano la Tano la Nishati Tanzania kwa mwaka 2023 kutumia mazingira rafiki yaliyopo Tanzania ili kuwekeza katika…

Read More