Madini Vision 2030 kutangazwa Indonesia

Ushirikiano Tanzania, Indonesia waimarishwa Madini ya Kimkakati kupewa kipaumbele Balozi wa Indonesia nchini Tanzania Mhe. Tri Yogo Jatmiko amesisitiza kushirikiana na Tanzania katika kutangaza Mwelekeo Mpya wa Wizara wa VISION 2030: Madini ni Maisha na Utajiri ili kutangaza fursa mbalimbali za uwekezaji zilizopo katika Sekta ya Madini Nchini. Balozi Jatmiko amesema hayo leo Septemba 20,…

Read More

Waziri Mhagama: Tuwalinde watoto dunia imebadilika

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Ruvuma Wazazi na walezi wametakiwa kuhakikisha wanawalinda watoto dhidi ya vitendo vya kikatili kwa  kuhakikisha wanatoa taarifa ili hatua za kisheria zichukuliwe badala ya kuwa sehemu ya kuwaficha watu wanaofanya  vitendo hivyo vinavyosababisha madhara makubwa kwa watoto.  Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu…

Read More