Mavunde aipongeza STAMICO kwa kupiga hatua na kujitegemea

#Aitaka kuchukua mafanikio kama kichocheo #STAMICO yabainisha mipango yake Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Madini Anthony Mavunde amelipongeza Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) kwa hatua kubwa iliyopigwa katika kipindi kifupi kutoka kuwa Shirika tegemezi na kuwa Shirika linalojitegemea huku akilitaka kuendelea kufanya kazi kwa bidii zaidi ili kufikia azma ya kuwepo kwa…

Read More

EWURA yatangaza bei mpya ya mafuta

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za  bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini zitakazotumika kuanzia Jumatano, tarehe 6 Septemba 2023 saa 6:01 usiku. Kwa mwezi Septemba 2023, bei za rejareja za mafuta  katika Mikoa ya Dar es Salaam, Tanga na Mtwara ni kama ifuatavyo:  Mkoa  Petroli  Dizeli …

Read More