Rais Samia apongeza mchango wa NMB kwenye kilimo akifunga maonesho ya Nane Nane

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Mbeya RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hasaan, ameipongeza Benki ya NMB kwa mchango uliotukuka kwenye Sekta ya Kilimo, Uvuvi, Ufugaji na Misitu, sambamba na kusapoti Program ya Kuandaa Vijana na Wanawake Kujenga Kesho Iliyo Bora (BBT), huku akiishauri kushusha kadri inavyoweza riba ya mikopo ya nyanja hizo…

Read More