Rais Samia aipa kongole Wizara ya Mifugo na Uvuvi kupitia BBT-LIFE
Na Edward Kondela, JamhuriMedia, Mbeya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameipongeza Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa namna inavyotekeleza Programu ya Kielelezo “Jenga Kesho Iliyo Bora” (BBT – LIFE) na kuwataka vijana waliopo kwenye programu hiyo kutumia vyema fursa hiyo. Rais Samia amesema hayo leo Agosti 8, 2023 wakati…