Kiwanda cha KEDA Chalinze chapiga tafu ujenzi wa shule ya Jakaya Kikwete

Na Mwamvua Mwinyi, JammhuriMedia,Chalinze Kiwanda cha kutengeneza Marumaru cha KEDA kilichopo Chalinze, mkoani Pwani, kimetoa Boksi 1,750 zenye thamani ya sh.milioni 46 ikiwa ni mchango kwa shule za sekondari za Jakaya Mrisho Kikwete na Miono High School zilizopo halmashauri ya Chalinze. Akiwashukuru wahisani hao, Mbunge wa Jimbo la Chalinze ambae pia ni Naibu Waziri wa…

Read More