Waziri Kijaji ataka wenye viwanda kuzalisha bidhaa zenye ubora

Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji amevitaka viwanda vyote nchini kutengeneza  bidhaa zenye ubora  kwa gharama nafuu  ili ziweze kuingia katika soko  Eneo huru la biashara Afrika (AfCFTA) Ameyasema hayo Agosti 3, 2023 alipotembea Kiwanda cha kuzalisha Maziwa cha Tanga Fresh kilichopo jijini Tanga kwa lengo la kujionea shughuli za uzalishaji  wa maziwa …

Read More