MOI kutibu kifafa kwa upasuaji

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma. Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI),ipo mbioni kuanzisha huduma ya kutibu ugonjwa wa kifafa kwa njia ya upasuaji na utengenezaji wa mkono wa umeme ambapo wagonjwa watano wameshahudumiwa. Mkurugenzi Mtendaji wa MOI, Profesa. Abel Makubi amesema hayo leo Agosti 3,2023 Jijini Dodoma wakati akizungumza na waandishi wa…

Read More