Global Fund kuendelea kushirikiana na Tanzania kufikisha huduma bora za afya nchini
GENEVA, USWISI Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Rasilimali Fedha wa Global Fund Bi. Ada Faye katika kikao kilichofanyika kwenye ofisi za Makao Makuu ya Mfuko huo zilizopo Geneva, Uswisi. Lengo la mazungumzo hayo ni kutoa taarifa ya utekelezaji wa miradi inayofadhiliwa na Global Fund pamoja na mwenendo wa…