Maambukizi ya Malaria yamepungua kwa asilimia 8.1 Tanzania
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. John Jingu amesema kiwango cha maambukizi ya ugonjwa wa Malaria nchini kimepungua na kufikia asilimia 8.1 kwa mwaka 2023 kutoka asilimia 15 kwa mwaka 2015. Dkt. Jingu amesema hayo leo Machi 14, 2024 Jijini Dodoma wakati akifungua kikao kazi cha kufanya tathimini ya jitihata…