Jerry: Baadhi ya hoja za kisheria wanaozijadili wanasheria hawazijui au wanapotosha makusudi
Wakati gumzo la mkataba wa uwekezaji Bandarini Dar es Salaam likiendelea, Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mita ji ya Umma (PIC) ambaye pia ni Mbunge wa Ukonga, Jerry Silaa ameelezea mengi ikiwemo hoja za kisheria ambazo amedai baadhi ya wanasheria wanaozijadili aidha hawazijui au wanafanya makusudi. “Ukiwasikiliza wengi mtu anaweza…