Makala

NINA‌ ‌NDOTO‌ ‌(32)‌

Jifunze‌ ‌kuamka‌ ‌mapema‌ “Kama una ndoto ya kuajiriwa, usilale hadi saa moja.”  alisema Ruge Mutahaba akiwa mkoani Mbeya katika fursa mwaka 2017. Linaweza kusikika kama jambo geni, lakini watu waliofanikiwa kwenye sekta mbalimbali ni watu waliojijengea tabia ya kuamka mapema.…
Soma zaidi...
Makala

HOTUBA YA MHESHIMIWA DK. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WAKATI WA KUFUNGA MKUTANO WA 39 WA WAKUU WA NCHI WA SADC DAR ES SALAAM, TAREHE 18 AGOSTI, 2019

Naomba nianze kwa kutoa taarifa. Jana, baada ya kusoma sehemu ya hotuba yangu ya ukaribisho kwa kugha ya Kiswahili; Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC walifurahi na kuvutiwa sana. Hivyo basi, tulipokwenda tu kwenye mkutano wetu wa ndani, wote…
Soma zaidi...