Rais Samia: Vitega uchumi kama hivi vitaongeza tija kwa NSSF
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema miradi ya vitega uchumi inayofanywa na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) itaongeza tija kwenye Mfuko. Amesema hayo Juni 14, 2023 wakati alipotembelea mradi wa ujenzi wa hoteli ya kitalii ya nyota tano inayomilikiwa na NSSF iliyopo katika eneo la Capripoint…