TSC kuwasaidia walimu kuielewa sheria ya Tume wa Walimu sura 448 na kanuni zake
Katibu Tawala Msaidizi wa Mkoa wa Katavi anayeshughulikia elimu, Mwl. Pendo Rweyemamu akitoa neno wakati wa kikao kazi cha kupitia rasimu ya ufafanuzi wa Sheria ya Tume ya Utumishi wa Walimu Sura 448 na Kanuni zake za mwaka 2016. Kikao kazi hicho kinafanyika kwa siku tatu, Mei 31 – Juni 2, 2023 mjini Mpanda. W…