Madaktari bingwa 10 waliokuwa India waja na shuhuda nzito kuhusu utalii tiba

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Madaktari bingwa wa upasuaji wa ubongo wameendelea kuongezeka katika Taasisi ya Mifupa (MOI) na kufikia 16 hali ambayo imeendelea kuifanya Tanzania kuwa kivutio cha utalii tiba Kusini mwa Jangwa la Sahara. Madaktari hao walikuwa India kwa siku 10 wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Utalii Tifa Taifa, ambaye ni Mkurugenzi…

Read More