Shaib: Rushwa inazorotesha maendeleo, Tuwafichue wanaojihusisha
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibiti Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa mwaka huu Abdallah Shaib Kaim, ameeleza licha ya juhudi za Serikali kuboresha huduma na miradi mbalimbali ,wapo baadhi ya wala rushwa wanaokwamisha na kuzorotesha juhudi hizo. Kutokana na hilo ametoa rai kwa Watanzania kushirikiana na Serikali kufichua wanaojihusisha na vitendo vya rushwa….