Wananchi kushirikishwa kuondoshwa kwa kijiji cha Ngaresero

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia, Dodoma Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mary Masanja amesema Serikali itawashirikisha wananchi kuhusu utekelezaji wa Maamuzi ya Baraza la Mawaziri ya kukiondoa Kijiji cha Ngaresero katika Pori Tengefu la Ziwa Natron. Naibu Waziri huyo ameeleza hayo Bungeni leo Mei 16,2023 wakati akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Ngorongoro,Emmanuel Lekishon Shangai, lililoulizwa…

Read More

‘Nishati mbadala muarobaini wa ukataji miti kiholela’

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia,Bagamoyo Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa( 2023) ,Abdallah Shaib amehimiza wananchi kuongeza matumizi ya Nishati Mbadala (gesi) ,badala ya kutumia mkaa na kuni ambao huchochea ongezeko la ukataji miti kiholela. Alitoa msukumo huo ,katika Mbio za Mwenge wa Uhuru Halmashauri ya Bagamoyo,wakati akipokea taarifa na kukagua shughuli za mabadiliko…

Read More

Serikali yajipanga kuendelea kunufaika na fursa za mtangamano wa kikanda

SERIKALI ya Tanzania imejipanga kuendelea kunufaika na fursa zinazotokana na Mtangamano wa Kikanda ili kuwawezesha watanzania kufaidika na uanachama wa Tanzania katika Jumuiya mbalimbali za kikanda. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt.Stergomena Tax wakati wa ufunguzi wa semina kuhusu “Nafasi ya Tanzania katika Mtangamano wa Kikanda”…

Read More

Serikali yaandaa mfumo wa huduma ndogo za fedha

Kamishna Msaidizi wa Idara ya Maendeleo ya Sekta ya Fedha, Wizara ya Fedha na Mipango, Dionisia Mjema akifungua kikaokazi cha kuainisha mahitaji ya mfumo wa kielektroniki wa usajili na usimamizi wa Mifuko na Programu za uwezeshaji Wananchi Kiuchumi kilichofanyika jijini Dodoma. Na Farida Ramadhani, WFM – Dodoma Serikali inaada mfumo wa kielektroniki wa Huduma Ndogo za Fedha ili kuboresha ufanisi…

Read More