‘Hakuna haki bila uwajibikaji katika utumishi wa umma’
………………………. Watumishi wapya kutoka Ofisi ya Wakili Mkuu Mkuu wa Serikali wametakiwa kuwajibika ipasavyo katika kuhakikisha wanatekeleza majukumu yao kwa weledi kwa kuwa hakuna haki bila uwajibikaji katika Utumishi wa Umma. Hayo yamesemwa tarehe 4 Mei, 2023 na Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Sarah Mwaipopo wakati akifungua mafunzo elekezi kwa watumishi wapya wa Ofisi…