Kongamano la kibiashara uwekezaji Malawi, Tanzania kufungua biashara zaidi

Na David John, JamhuriMedia Wizara ya Uwekezaji Viwanda na Biashara kwa kushirikiana na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) na Ubalozi wa Tanzania-Malawi, Kituo cha Uwekezaji (TIC), Sekta Binafsi, TCCIA na TWCC imeratibu Kongamano la Kibiashara kati ya Malawi na Tanzania lililofanyka Aprili 26 hadi 28 mwaka huu katika jiji la Mzuzu nchini Malawi…..

Read More

Mamlaka ya Serikali Mtandao kutumia Mifumo ya Tehama kuboresha utendaji kazi

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa kushirikiana na Mamlaka ya Serikali Mtandao ( e-GA) imejipanga kutumia mifumo ya teknolojia kurahishisha utendaji kazi wa watumishi wa umma. Hayo yameelezwa leo Aprili 28,2023 Jijini Dodoma na Afisa TEHAMA kutoka Utumishi Bw.Hossea Laizek,akizungumza na waandishi wa habari kwenye banda…

Read More