Urusi, Ukraine wabadilishana wafungwa wa kivita zaidi ya 200

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amethibitisha kuachiliwa kwa wafungwa wa kivita kama sehemu ya makubaliano kati ya Ukraine na Urusi. Makubaliano hayo yalifanikisha kiasi cha wanajeshi 200 waliokuwa wakishikiliwa katika pande zote za mzozo kurejeshwa kwenye mataifa yao. Rais Zelensky alisema mpango huo umefanikisha wanaume 80 na wanawake 20 kurejea Ukraine na miongoni mwao ni…

Read More

Barrick North Mara, wakandarasi wakabidhi msaada wa vifaa Tarime

Mgodi wa Dhahabu wa Barrick North Mara na wakandarasi wake mgodini wamekabidhi msaada wa vifaa tiba vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 120 katika Kituo cha Afya Sungusungu kilichopo Nyamongo wilayani Tarime. Hafla ya kukabidhi msaada huo imefanyika katika kituo hicho na kuhudhuriwa na wafanyakazi wa mgodi,wawakilishi kutoka makampuni yanayofanya kazi katika mgodi,viongozi wa…

Read More

Ihefu yawa mteja kwa Simba

Licha ya Ihefu kuwa bora kwenye mchezo wa leo mbele ya Simba kwenye upande wa umiliki wamekwama kuondoka na pointi tatu. Dakika 90 zimekamilika ubao wa Uwanja wa Highland Estate unasoma Ihefu 0-2 Simba. Mabao yote mawili yamefungwa na Jean Baleke kipindi cha pili katika dakika za lala salama ilikuwa dakika ya 83 na 86….

Read More