Rais amteua Wasira kuwa mwenyekiti wa bodi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan amemteua Bw. Stephen Wassira kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA), kwa kipindi cha pili cha miaka minne baada ya kipindi cha kwanza kumalizika; na Amemteua Dkt. Fidelice Mbaruku Simbagungile Mafumiko, kuwa Mkemia Mkuu wa Serikali kwa kipindi kingine cha miaka…

Read More

Azam yaanza kujitafakari ligi kuu

Na Tatu Saad,JAMHURI MEDIA Matajiri kutoka Chamazi, Azam FC wameanza kujitafakari ili kufanya vizuri katika michezo ya ligi kuu iliyosalia msimu huu wa 2022/23, baada ya kuchemsha kwenye baadhi ya michezo waliyocheza hadi sasa. Akizungumza kocha msaidizi wa Azam FC,Kally Ongala amesema hatua ambayo timu hiyo imefikia imebidi benchi la ufundi pamoja na wachezaji wajitathmini…

Read More

Waonywa kucheza Ndondo Cup msimu wa Ramadhan

Na Tatu Saad,JAMHURI MEDIA Shirikisho la Soka Zanzibar ‘ZFF’ limewaonya Wachezaji wa Klabu za Ligi Kuu visiwani humo ‘PBZ Premier League’ pamoja na Ligi Daraja la kwanza Kanda ya Unguja na Pemba, kutojihusisha na kucheza Michuano ya Mitaani (NDONDO Cup) kwa kipindi chote cha Mapumziko ya Mwezi mtukufu wa Ramadhan. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa…

Read More

Dario bado ni mali ya Singida

Na Tatu Saad,JAMHURI MEDIA Nyota Dario Frederico kutoka klabu ya Singida Big Stars ameongezewa muda wa likizo na timu yake hiyo baada ya kupewa likizo ya mwezi mmoja kwa akili ya matibabu nchini Brazil na ripoti ya daktari ikionesha amepona kwa asilimia 90. Klabu imemuongezea nyota wake huyo muda ili aweze kuwa timamu kwa asilimia…

Read More

EU yaridhishwa na utekelezaji miradi

Na Mwandishi Wetu JAMHURI MEDIA Umoja wa Ulaya (EU) umeridhishwa na hatua iliyofikiwa ya utekelezaji wa mradi wa kilimo wa AGRI-CONNECT inaoufadhili. Huu ni mradi ulioanzishwa mwaka 2020, unaolenga kusaidia kukuza kilimo katika mikoa sita ya Tanzania Bara na Zanzibar, ambapo EU imetoa Euro milioni 100 sawa na zaidi ya Sh bilioni 250 za Tanzania….

Read More