Bashe awaita wawekezaji kuja Tanzania
Na Mwandishi wetu, JAMHURI MEDIA Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amewakaribisha wawekezaji kutoka katika maeneo mbalimbali duniani kuja kuwekeza kwenye kilimo na kuahidi kuwa Serikali itatoa ardhi na kuweka mazigira bora. Bashe ameyasema leo Machi 17, 2023 Ikulu jijini Dar es Salaam, wakati akizungumza na washiriki wa uzinduzi wa Jukwaa la Mfumo wa Chakula Afrika…