Hii ndiyo siri iliyoko nyuma ya sikukuu ya wapendanao

Kila ifikapo Februari 14 watu wengi huadhimisha sikukuu ya wapendanao ulimwenguni, na utaratibu huu umedumu kwa karne nyingi ukihusishwa na utamaduni wa magharibi. Watu huadhimisha siku hii kwa namna tofautitofauti ikiwa ni pamoja na kupeana zawadi kama vile maua mekundu,chokoleti pia kutoka na hata kwenda kupata chakula cha pamoja katika maeneo ya kustarehe kama vile…

Read More