Serikali yapiga marufuku vitabu visivyo na maadili kutumika shuleni
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imepiga marufuku matumizi ya vitabu 16 vinavyokwenda kinyume na maadili kwenye Shule na Taasisi zote za Elimu. Vitabu hivyo vimepigwa marufuku na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda kwa mamlaka aliyopewa chini ya Kifungu cha 59 cha Sheria ya Elimu Sura ya 353. Akizungumza na waandishi…