DC Haniu aiagiza TUWASA kufanyakazi kwa bidii

Mkuu wa Wilaya ya Rungwe Jaffar Haniu, amefanya ziara katika chanzo cha maji Mbaka-Ikama kilichopo kata ya Itagata Barabara ya Katumba -Mwakaleli. Akiwa katika chanzo hicho Haniu ameuagiza uongozi wa Mamlaka ya Maji Tukuyu Mjini (TUWASA) kuharakisha upanuzi wa chanzo hicho ili kutoa fursa ya kuhudumia zaidi ya wakazi 6,330 waishio Tukuyu Mjini. ā€¯Mheshimiwa rais…

Read More

Rais Samia afanya uteuzi mwingine

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo:- (1) Amemteua Bi Janet Zebedayo Mbene kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA). (2) Amemteua Bw. James Andilile Mwainyekule kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA). Bw. Mwainyekule…

Read More

Serikali yalipa mil.40/- za kifuta jasho Kondoa Mjini

Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imelipa kiasi cha shilingi milioni 40 ikiwa ni kifuta jasho/machozi kwa wananchi 198 wa Vijiji vya Chemchem, Tungufu, Tampori, Mulua na Iyoli wilayani Kondoa kutokana na kupata madhara yaliyosababishwa na wanyamapori. Hayo yamesemwa leo na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mary Masanja kwa niaba ya Waziri wa…

Read More