Biteko: Ushirikiano Tanzania,Canada katika sekta ya madini umeendelea kuimarika

Waziri wa Madini Dkt.Doto Biteko amesema ushirikiano uliopo kati ya Tanzania na Canada katika sekta ya Madini umeendelea kuimarika hususan katika masuala ya utafiti wa madini. Dkt.Biteko ameyabainisha hayo leo Junuari 19, 2023 mara baada ya kukutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Canada nchini Tanzania Mhe. Kyle Nunas Ofisini kwake Mtumba Jijini Dodoma. Dkt….

Read More

Diamond Platnumz atangaza kuhamia Yanga

Nasibu Abdul maarufu Diamond Platnumz ambaye ni msanii wa Bongo Fleva nchini,ametangaza kuhamia timu ya Yanga SC amedai kumfuata msemaji Haji Manara. Awali Diamond alikuwa akishabikia Simba SC kabla ya Manara kuondoka kwa wekundu hao wa Msimbazi. Katika sherehe ya siku ya kuzaliwa ya Manara iliyofanyika jijini Dar es Salaam, Diamond Platnumz amethibitisha kuwa amehamia…

Read More

Serikali yawasaidia wafugaji walioathirika na mabadiliko tabia nchi

Serikali imetoa agizo kwa wafugaji wote nchini kupeleka mifugo yao katika majosho ya serikali yaliyojengwa katika maeneo mbalimbali nchini huku lengo kuu likiwa kuzisaidia jamii zilizoathirika na mabadiliko ya tabia nchi ikiwemo mikoa ya Dodoma,Singida huku ikiwaasa kutunza mazingira ili kuruhusu uoto wa majani ambacho ni chakula cha wanyama. Agizo hilo limetolewa na Naibu Waziri…

Read More

Kinana ateta na aliyekuwa mchumi mkuu wa DFID

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, amekutana na kufanya Mazungumzo na, Prof. Stefan Dercon, Aliyekuwa Mchumi Mkuu wa DFID (UK Department for International Development) na Mshauri wa Waziri wa mambo ya nje wa Uingereza alieambatana na Balozi Uingereza Nchini Tanzania Mhe. David Concar, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu…

Read More

Majaliwa:Miradi 630 ya uwekezaji ya bil.3.68/- yasajilia na TIC

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema katika mwaka wa fedha 2021/2022 miradi mipya ya uwekezaji 630 yenye thamani ya Dola za Marekani bilioni 3.68 inayotekelezwa na makampuni ya India imesajiliwa kupitia Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC). Amesema hatua hiyo inatokana na jitihada mbalimbali za kuboresha mazingira ya uwekezaji zinazofanywa na Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa…

Read More