Ajali yaua watano Morogoro

Watu watano wameripotiwa kufariki dunia papo hapo, katika eneo la Mikumi, wilayani Kilosa mkoani Morogoro kwenye ajali iliyohusisha gari ndogo maarufu kama IT iliyokuwa ikitokea bandarini jijini Dar es salaam kuelekea mpakani Tunduma kugongana uso kwa uso na gari kubwa la kusafirisha mafuta  lilokuwa likitokea mkoani  Iringa kuelekea mkoani Morogoro. Kamanda wa jeshi la polisi…

Read More

Simba SC yaichapa KMC FC 3-1

Simba SC wameibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya KMC leo katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.  Mabao ya Simba SC yamefungwa na mshambuliaji na Nahodha John Bocco dakika ya 16, winga Mghana Augustine Okrah dakika ya 55 na beki Mkongo, Henock Inonga Baka ‘Varane’ dakika…

Read More

Namoto aelezea mafanikio na changamoto za wamachinga 2022

Na Mussa Augustine,JamhuriMedia Chama cha Wafanyabiashara Ndogondogo Mkoa wa Dar es Salaam (KAWASO),kimeishukuru Serikali ya Awamu ya Sita kwa jitihada za kuwaboreshea mazingira ya kufanya kazi zao ikiwemo kuwaweka kwenye mpangilio mzuri pamoja na kujenga masoko ya kisasa. Akizungumza na Jamhuri Mwenyekiti wa KAWASO Namoto Yusufu Namoto, amesema kuwa mwaka 2022 wamachinga wamepata mafanikio lukuki…

Read More