Namoto aelezea mafanikio na changamoto za wamachinga 2022

Na Mussa Augustine,JamhuriMedia Chama cha Wafanyabiashara Ndogondogo Mkoa wa Dar es Salaam (KAWASO),kimeishukuru Serikali ya Awamu ya Sita kwa jitihada za kuwaboreshea mazingira ya kufanya kazi zao ikiwemo kuwaweka kwenye mpangilio mzuri pamoja na kujenga masoko ya kisasa. Akizungumza na Jamhuri Mwenyekiti wa KAWASO Namoto Yusufu Namoto, amesema kuwa mwaka 2022 wamachinga wamepata mafanikio lukuki…

Read More

Yanga yaonesha ubabe bila Fei Toto

Mabingwa watetezi, Yanga SC wameonyesha wanaweza kuendelea kufanya vizuri bila kiungo Feisal Salum Abdallah aliyesusa akishinikiza kuondoka baada ya ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Azam FC usiku huu Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Ilikuwa mechi tamu ya funga nikufunge ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara baina ya timu mbili zinazofukuzana kwenye…

Read More

Rais Samia amwaga mamilioni kwa wasanii

Jumla ya shilingi milioni 170 zimetolewa katika mkupuo wa kwanza ambapo msanii wa chini amepata shilingi milioni 20 na wa juu amekopeshwa kiasi cha shilingi milioni 50. Akikabidhi hundi hizo Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo,Mohamed Mchengerwa amewataka wasanii na wadau wa kazi za sanaa kujitokeza kwa wingi kuomba kukopeshwa fedha kutoka kwenye mfuko huo…

Read More