Dulla Makabila kikaangoni BASATA

Msanii wa Singeli, Dulla Makabila ametakiwa kufika Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) ili kujadili wimbo wake mpya uitwao ‘Pita Huku’ ambao kwa sasa unafanya vizuri kwa kuwa na watazamaji wengi katika mtandao wa YouTube. Makabila amepata barua wito huo kutoka kwa Katibu Mtendaji, Dkt. Kecnon Mapana ambayo imesomeka kwamba “BASATA Inapenda kuwajulisha kwamba kutakuwa…

Read More

Serikali hyaimarisha huduma za matibabu ya moyo

Na Salome Majaliwa- JKCI Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI). Dkt. Peter Kisenge amehimiza kuimarisha ushirikiano kwa wafanyakazi wa taasisi hiyo ili waendelee kutoa huduma bora za matibabu kwa wagonjwa. Dkt. Kisenge ametoa rai hiyo jana jijini Dar es Salaam wakati wa kikao cha wafanyakazi kilichofanyika katika taasisi hiyo. Mkurugenzi huyo Mtendaji…

Read More