DC Mgema:Vita ya kugombania maji inakuja

Na Albano Midelo, JamhuriMedia,Ruvuma MKUU Wa Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma Pololet Mgema ameitaja vita kubwa na mbaya ambayo inakuja ni ya kugombania maji. Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara na wananchi wa kijiji cha Mtyangimbole Halmashauri ya Madaba Wilaya ya Songea,Mgema amesisitiza kuwa vita hiyo itasababishwa na uharibufu wa vyanzo vya maji unaoendelea hivi sasa….

Read More

Hakuna kama Morocco

Hakika hakuna kama Morocco kwa Afrika wala kwa nchi zote za kiarabu baada ya kufanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali ya Kombe la Dunia mwaka 2022 huko nchini Qatar.  Morocco ndio nchi ya kwanza toka Afrika kutinga katika hatua ya nusu fainali ya Michuano ya Kombe la Dunia toka dunia iumbwe lakini Morocco wanafanya hivyo…

Read More

Simba wanapompuuza mbaniani mbaya wakati hawana malaika

Simba haina tatizo ila imezungukwa na watu wenye matatizo wasiotaka mabadiliko. Ukiona taasisi inakubali kupoteza wasomi wake kirahisi ujue kuna watu hawataki klabu ipige hatua. Simba inarudi nyuma badala ya kwenda mbele.  Baniani mbaya kiatu chake dawa. Yawezekana Mo Dewji ana mapungufu lakini ndiye ameifanyia mema klabu kuliko hao wanaojiona wakamilifu. Haipingiki Babra alikuwa pale…

Read More