Meya wa Dar es Isaya Mwita akimueleza jambo Waziri mstaafu Edward Lowassa ofisin kwake.
Meya wa Dar es Isaya Mwita akimueleza jambo Waziri mstaafu Edward Lowassa ofisin kwake.
Meya wa Dar es Isaya Mwita akimueleza jambo Waziri mstaafu Edward Lowassa ofisin kwake.
Wakiwa kwenye picha ya pamoja

Mstahiki Meya wa jiji la Dar es Salaam , Isaya Mwita jana alimtembelea ofisini kwakwe na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Edward Lowassa ,ambapo wamejadiliana mambo mbalimbali kuhusu maendeleo ya jiji la Dar es Salaam.

By Jamhuri