Madiwani watatu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Wilaya ya Longido, mkoani Arusha, wamejivua uanachama wa chama hicho na kujiunga na CCM, pia  jana hiyo hiyo tulishuhudia Mwanachadema mwingine, Muslim Hassanali alijiunga na CCM, Dar es Salaam.

Kujiunga kwa Hassanali ni mwendelezo wa mfululizo wa viongozi wa upinzani wakiwemo wabunge na madiwani kuondoka na kwenda CCM.

Ni Vema sasa CHADEMA wajitasmini kwa makini kuliko kung’ang’ani kwamba hawa wote wamenunuliwa 2020 sio mbali miaka 2 tu imebaki.

1183 Total Views 1 Views Today
||||| 0 I Like It! |||||
Sambaza!