Rais Magufuli Amjulia Hali Mzee Kingunge

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemjulia hali mwanasiasa mkongwe Mzee Kingunge Ngambale Mwiru aliyelazwa katika wodi ya Mwaisela, Hospitali ya Taifa Muhimbili.

Mzee Kingunge anatibiwa majeraha baada ya kushambuliwa na mbwa nyumbani kwake Jijini Dar es Salaam.

707 Total Views 1 Views Today
||||| 0 I Like It! |||||
Sambaza!

Comments

comments

Show Buttons
Hide Buttons