Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiangalia uzalishaji wa miche pamoja na bidhaa mbalimbali zitokanazo na kilimo wakati alipotembelea Banda la Taasisi ya Utafiti wa Kilimo (TARI) na Banda la Taasisi ya Kudhibiti Ubora wa mbegu Tanzania (TOSCI)  kwenye kilele cha Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima Nanenane Kitaifa ambayo imefanyika katika Viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya tarehe 08 Agosti, 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akilihutubia Taifa kwenye kilele cha Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima Nanenane Kitaifa ambayo imefanyika katika Viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya tarehe 08 Agosti, 2022.

By Jamhuri