Mchezaji Shafik Batambuze wa Singida United amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa michuano ya Mapinduzi Cup.

Katika kikosi bora cha michuano hiyo, Singida United imeingiza wachezaji 5 sawa na URA FC ambao wameshika nafasi ya pili baada ya kufungwa na Azam kwa mikwaju ya penati 4-3 iliyowawezesha Azam kutwaa kombe hilo kwa mara ya pili mfululizo.

 

 

2327 Total Views 1 Views Today
||||| 1 I Like It! |||||
Sambaza!