Simba Yatanguliza Mguu Mmoja Uingereza

Klabu ya soka Simba imefanikiwa kuingia fainali ya Michuano ya SportPesa Super Cup baada ya kuiondosha klabu ya Kakamega HomeBoys kutoka Kenya kwa mikwaju ya penati 5-4.

Simba na Kakamega walifikia hatua hiyo ya kupigiana mikwaju ya penati baada ya kutoka sare ya bila kufungana ndani ya dakika 90

Simba watacheza fainal na Timu ya For Mania ya Kenya Ambapo timu hiyo ya Kenya ilifanikiwa kutinga final baada ya kuwafunga Singida Unite kwa mabao 2-0

Kutokana na historia  za timu hizi Simba na Gori Mahia Inaonesha Mchezo utakuwa mgumu sana ambao unatarajiwa kuchezwa Jumapili,

Na pingwa wa mchezo atakwea pipa kuelekea Uingereza kucheza na Everton.

1432 Total Views 1 Views Today
||||| 0 I Like It! |||||
Sambaza!

Comments

comments

Show Buttons
Hide Buttons